Waziri
wa Malisili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe akizungumza wakati wa
ufunguzi wa maonesho ya tatu ya kimataifa ya Utalii yanayofanyika katika
uwanja wa Chuo Kikuu Ushirika mjini Moshi.
Mkurugenzi
wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Devota Mdachi akizungumza wakati wa
ufunguzi rasmi wa maonesho makubwa Afrika Mashariki ya Utalii na Viwanda
yanayofanyika katika uwanja wa Chuo Kikuu Cha Ushirika mjini Moshi.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TTB,Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akisalimia wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo.
Mkurugenzi
Mwenza wa Kampuni ya Kili Fair inayoratibu maonesho hayo Dominic Shoo
akisoma taarifa kuhsu maonesho hayo yanayofanyika wa mara ya tatu sasa .
Mkuu
wa wilaya ya Moshi,Kippi Warioba akitoa neno kabla ya kumkaribisha
mgeni rasmi katika ufunguzi wa maonesho ya Kili Fair yanayojumuisha
zaidi ya washiriki 300 kutoka nchi tisa.
Mkurugenzi
wa Kili Fair ,Dominic Shoo akimuongoza mgeni rasmi katika ufunguzi wa
maonesho hayo,Waziri wa Maliasili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe
kutembelea sehemu maonesho katika uwanja wa Ushirika mjini Moshi.
Waziri
wa Maliasili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe akimsadia Mkurugenzi wa
Bodi ya Utalii,TTB Bi Devota Mdachi kufika katika eneo la mfano wa
Kilele cha Uhuru ,Mlima Kilimanjaro.
Waziri
wa Maliasili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe ,Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi (TTB) Jaji Mstaafu ,Thomas Mihayo,Mkuu wa wilaya ya Moshi
Kippi Warioba na viongozi wengine wakiwa katika kilele cha Uhuru cha
Mfano kilichopo katika maonesho yanayoendelea katika uwanja wa chuo
kikuu cha ushirika mjini Moshi.
Waziri
wa Malisili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe akiwa katika picha ya
pamoja na viongozi wengine mara baada ya kufungua maonesho ya Kili Fair.
Waziri Prof Maghembe akitizama ngoma ya kikundi cha jamii ya Maasai kikitoa burudani katika maonesho hayo.
Bidhaa
mbalimbali na zikiwa katika mabanda ya maonesho ndani ya uwanja wa Chuo
Kikuu cha Ushirika mjini Moshi ambako maonesho ya Kili Fair
yanafanyika.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
SHARE
No comments:
Post a Comment