Siku ya Ijumaa 28 Julai 2017 Saa 2.00 Usiku
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa
band aka FFU-Ughaibuni au Viumbe wa ajabu “Anunnaki Aliens” yenye makao
yake
bendi hiyo imejizolea umaarufu katika majukwaa ya kimataifa wa mdundo wa Extraordinary “Bongo Dansi” unaowatia kiwewe washabiki barani ulaya. Usikose kujumuika nao at www.ngoma-africa.com au www.instagram.com/ngomaafricab and
SHARE
No comments:
Post a Comment