Rais Donald Trump ameagiza idara ya ulinzi Marekani kusitisha uajiri katika jeshi wa watu waliobadilisha jinsia zao.
Wanaharakati wa watu waliobadili jinsia wakiandamana wakipinga agizo la rais Trump
Katika ilani kwa waziri wa ulinzi Jim Mattis, Trump amesema Pentagon ni lazima irudishe marufuku hiyo.
Idara hiyo ya ulinzi itaamua hatma ya watu ambao wamebadiisha jinsia na ambao tayari wanalitumikia jeshi.
Agizo hilo pia linasitisha nafasi ya wanajeshi wa kiume na wa kike kufanyiwa upasuaji wa kubadili jinsia zao.
CHANZO:BBC
SHARE









No comments:
Post a Comment