Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru akizungumza na wafanyakazi Bora 2017 kabla ya kuwakabidhi vyeti wafanyakazi hao. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mwenyekiti
wa Tughe Tawi la Hospitali ya Taifa Muhimbili, Mziwanda Chimwege
(kulia) akisoma risala mbele ya mgeni rasmi ambaye alikuwa ni, Mkurugenzi
Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru
(katikati) wakati wa kuwapongeza wafanyakazi Bora wa 2017.kushoto ni Mkurugenzi wa Raslimali Watu wa Hospitali hiyo, Makwaia Makani.
alisema Chimwege.
Chama cha Wafanyakazi Tawi la Hospitali
ya Taifa Muhimbili pamoja na Tughe Mkoa tunapenda kukupongeza wewe na
uongozi wote kwa uboreshaji wa huduma za wagonjwa, majengo na huduma za
mawasiliano, Chimwege aliendelea kusema
Ninayo furaha na heshima kububwa
kukukaribish wewe na wageni wote waalikuwa kwa kukubali kufika katika
hafla hii ya kuwapongeza wafanyakazi wako Bora wa mwaka 2017, na katika
kufika kwako kunamambo muhimu matatu nayo nikama ifuatavyo.
Kuwapongeza wafanyakazi wako hodari 49
wa Hospitali ya Taifa Munimbili waliokidhi vigezo vyakuwa bora kati ya
wafanyakazi wengine katika mchujo wa kuwashinda vigezo wengine ambapo
utawazawadia vyeti kwa kuwatambua wao ndio wenyewe haswa katika mwaka
2017 na tatu ni kusherehekea nao pamoja katika kula nao pamoja kwani
nisiku pekee kwao na kwetu pia.Chimwege alisema,
Pamoja na sisi kwa niaba ya wafanyakazi
wenzetu wengine ambao wanawajibika kutoa huduma kwa kuwahudumia wagonjwa
mbalimbali kwa watanzania na wasio kuwa watanzania ambao wanawajibu wa
kupata huduma. Chimwege aliendea kusema.
Pamoja na mambo niliyoyaeleza hapo huu
napenda kukupongeza wewe binafsi na utawala wako mzuri kwa kupoke ombi
la kuwapati zawadi wafanyakazi wako wa Hospitali ya Taifa Muhimbili.
alisema Chchimwege.
Ninaimani wafanyakazi hawa wameifurahia
zawadi iliyotolewa na Hospitali pia tunapenda kukupongeza wewe binafsi
pamoja na uongozi wako kwa juhudi mbalimbali unazozifanya katika
urekebishaji wa huduma bora kwa wagonjwa, uboreshaji wa majengo pamoja
na huduma za mawasiliano ya (IT).
Kwa kiasi fulani sasa
mabadilikoyanaonekana na tunawapongeza kwa hayo na Mungu awabariki na
kuwaongoza na pamoja na pongezi hizo Tawi la Tghe Hospitali ya Taifa na
Tughe Mko tunakuomba san kuwa na Moyo wa huruma kwa kuboresha viwango
vya utowaji wa huduma kwa wengine watakao patikana kwa mwaka 2018.
Zawadi tunazo pendekeza tunaomba uchukue
ukayafanyie kazi kwani tungepend kuona zawadi hizo zikatolewa na mkuu
wa nchi kulinga na jina la Hospitali yetu kwani tunahitaji kumpata
mfanyakazi bora wa Kitaifa ambye atakabidhi zawadi hizo na Rais wa
Jamhuri ya Muungano.
Zawadi hizi zitaongeza nidhamu majumbani
na mahala pao pa kazi na kuongeza maarifa, ninaimani ombi hili
litachukulikiwa na akulifanyia kazi mfanyakazi wani alama mlizopata
katika tadhini ya mojamoja mfululizo kwa miaka mitatu mpaka kuchaguliwa.
Hivyo naomba mkazilinde alama hizo na kwa imani yangu muweze kuwa wafanyakazi bora na kwa
2017 na 2018 katika mpango wa mkakati wa
Hospitli yw mwaka tunategeme nguvukazi hii hivyo basi changamoto ya
ucheleweshaji wa malipo, yani posho, IPPM, NHIF, Likizi nimuhimi viwe
vinalipwa kwa wakati ili kuongeza morali ya kazi na naomba kusema
asanteni kwa kunisikiliza
Mkurugenzi Mtendaji
wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru (kulia)
akiongozana na Mkurugenzi wa Raslimali Watu wa Hospitali hiyo, Makwaia
Makani wakati walipokuwa wakiingia katika viwanja vya michezo vilivyopo
eneo la Muhimbili wakati wa hafla fupi ya kuwazawadia vyeti wafanyakazi
Bora 49 wa hospitali ya Taifa Muhimbili
Katibu
Muhutasi, Mwajuma Kissengo akizungumza kwa niaba ya wafanyakazi bora
wenzake, ambapo alianza na kumshukuru Mkurugezi wetu kutufikiria kwa
kutupatia zawadi kwa kweli sisi wafanyakazi bora tunakushukuru wewe na
uongozi wako na tunawaombea kwa Mungu azidi kuwa bariki. Kissengo
aliendele kusem kwa kuwaomba wafanyakazi wenzake kwa kutobweteka kwa
zawadi walizozipata.
Tuendeleze
rekodi ya kuwa wafanyakazi bora kwa kuongeza juhudi na maarifa katika
kujituma kufanya kazi kwa bidii na tupate tena kuwa wafanyakazi bora
baada ya miaka mitatu. Kissengo alisema.
Tunkupongeza
wewe na Timu yako kwa yote mnayo endelea kuyafanya katika kuiboresha
Hospitali yetu na tunakushukuru sana kwa kutenga muda wako na kupata
kufahamiana na hii yote ni kwa upendo wako kwa kutujali kwa kuwa na
upendo na wafanyakazi wako na bila wewekutuandalia hafla hii wengiune
usinge wafahamu ambao wengine ulikuwa unawasoma kwenye makaratasi.
Pia
tunapenda kushukuru uongozi wa Tughe pamoja na uongozi wako kwa kutujali
na pia tunakuomba uendelee kutujali na Mungu azidi kukubariki, nasema
asante sana.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru
akifunga muziki katika hafla hiyo na Katibu Muhutasi, Mwajuma Kissengo.
Kulia ni Mwenyekiti wa Tughe Tawi la Hospitali ya Taifa Muhimbili, Mziwanda Chimwege
Wageni waalikwa
Baadhi ya wafanyakazi bora na wageni waalikwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya
Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru (wa pili kulia)
akimkabidhi cheti cha Mfanyakazi Bora Mstaafu, Mkuu wa Idara ya Magonjwa
ya Kike na Uzazi Hospitali ya Taifa Muhimbili .Dokt. Mathew Kallanga.
kuanzia kulia ni Mwenyekiti wa Tughe Tawi la Hospitali ya Taifa na
wapili kushoto ni Mkurugenzi wa Raslimali Watu, Makwaia Makani
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya
Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru (wa pili kushoto
waliokaa) katika picha ya pamona na wafanyakazi bora 49 wa mwaka 2017.
wa Hospitali ya Taifa Muhimbili
Baadhi ya wafanyakazi bora Wakiburudika na waalikwa waliofika katika hafla hiyo
Baadhi ya Wafanyakazi bora na wageni waalikwa
SHARE
No comments:
Post a Comment