TRA

TRA

Sunday, August 13, 2017

CCM YAHITIMISHA MAFUNZO ELEKEZI

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole (wa pili kushoto)
akiongoza nyimbo ya hamasa mara baada ya Katibu
Mkuu wa CCM ndg:Abdulrahman Kinana kuwasili  kufunga  mafunzo elekezi ya siku mbili kwa
Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao
makuu ya CCM mjini Dodoma
 
 Katibu wa NEC Uchumi na fedha Dkt.Frank George Haule hawassi
akiwasilisha mada wakati wa mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM
tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet
katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
 baadhi ya washiriki wakifuatilia kwa umakini Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa
CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet
katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
 maofisa wa chama wakifuatilia kwa umakini Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa
CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet
katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
 Mafunzo yakiendelea
washiriki  Makatibu wa Mikoa
CCM tanzania bara na Visiwani  wakiwa katika mijadala kwa makundi mbalimbali kuchambua yale walio jifunza katika mafunzo elekezi  yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet
katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
Katibu wa NEC Oganaizesheni ndg: pelela Ame Silima,akizungumza wakati wa kufunga  mafunzo   elekezi ya siku mbili kwa
Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao
makuu ya CCM mjini Dodoma
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi ndg:Humphrey Polepole akizungumza wakati wa  kufunga  mafunzo elekezi ya siku mbili kwa
Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao
makuu ya CCM mjini Dodoma.
 Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ngemela Lubinga,akizungumza wakati wa  kufunga  mafunzo elekezi ya siku mbili kwa
Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao
makuu ya CCM mjini Dodoma.
  Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo akizungumza wakati wa  kufunga  mafunzo elekezi ya siku mbili kwa
Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao
makuu ya CCM mjini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM- Zanzibar Dkt. Abdallah Juma Mabodi, akizungumza wakati wa  kufunga  mafunzo elekezi ya siku mbili kwa
Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao
makuu ya CCM mjini Dodoma.
Katibu
Mkuu wa CCM ndg:Abdulrahman Kinana akifunga  mafunzo elekezi ya siku mbili kwa
Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani (kulia) ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo(kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa CCM- Zanzibar Dkt. Abdallah Juma Mabodi .
 Katibu
Mkuu wa CCM ndg:Abdulrahman Kinana akifunga mafunzo elekezi ya siku mbili kwa
Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao
makuu ya CCM mjini Dodoma.(PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI)

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger