Wanakwaya wa kwaya ya Kinondoni Carnival, wakitoa burudani wakati wa kikao cha majadiliano baina ya
wainjilisti na wanakwaya kwenye ukumbi wa NSSF, Ilala jijini Dar es
Salaam.
Mwimbaji
wa nyimbo za Injili Chesco Kilemile akitoa maoni yake wakati wa kikao hicho
kilichofanyika kwenye ukumbi wa NSSF Ilala jijini Dar es salam
|
Waziri
wa Habari, Sanaa na Michezo, Mhe. Dk. Harrison Mwakyembe (wapili
kushoto), akizunguza na wanakwaya na wainjilisti jijini Dar es Salaam,
wakati alipowaita kujadiliana nao kuhusu masuala mbalimbali
yanayozunguka tasnia ya sanaa hapa nchini.
Viongozi wa Wainjilisti wa jijini Dar es Salaam
Waziri
wa Habari, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (katikati), akiwa
kwenye picha ya pamoja na kwaya ya
Wainjilisti mara baada ya kuzungumza nao kwenye ukumbi wa NSSF Ilala jijini Dar
es Salaam. Waziri amekuwa akikutana na makundi mbalimbali ya wasanii ili kujua
changamoto zinazowakabili na namna ya kuzitatua.
SHARE
No comments:
Post a Comment