TRA

TRA

Friday, September 1, 2017

SHEIN AWAONGOZA WAUMINI WA DINI YA KIISLAM IBADA YA SWALA YA IDI AL ADH-HA

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !



DSC_0055
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk Ali Mohammed Shein kushoto  akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayuob Mohammed Mahmoud mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Dimani kwa ajili ya kuswali swala ya Idi Al Adh-ha Wilaya ya magharibi B Unguja.
DSC_0072
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk Ali Mohammed Shein wapili kushoto  akijumuika pamoja na waumini mbalimbali wa Dini ya Kiislamu katika Ibada ya  swala ya Idi Al Adh-ha ilioswaliwa Kitaifa Dimani   Wilaya ya magharibi B Unguja.
DSC_0077
Baadhi ya Viongozi mbalimbali waliohudhuria katika ibada ya  swala ya Idi Al Adh-ha ilioswaliwa Kitaifa Dimani   Wilaya ya magharibi B Unguja.
DSC_0087
Baadhi ya Wananchi mbalimbali  waliohudhuria katika ibada ya  swala ya Idi Al Adh-ha ilioswaliwa Kitaifa Dimani   Wilaya ya magharibi B Unguja
DSC_0097
Baadhi ya Wananchi mbalimbali  waliohudhuria katika ibada ya  swala ya Idi Al Adh-ha iliyoswaliwa Kitaifa Dimani   Wilaya ya magharibi B Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger