Mkuu wa Mkoa wa Mara Adam Malima akiongea na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Mji na Vijijini alipofanya zaira yake ya kwanza tangu kuteuliwa na Mh Rais John Magufuli ambapo Mkuu wa Mkoa amesema sasa anataka kufanya kazi na viongozi wote bila kujali itikadi kwa lengo la kuletea maendeleo Wananchi wake . |
Baadhi ya Watumishi. |
SHARE
No comments:
Post a Comment