Picha
mbalimbali zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa
Awamu ya Tatu Mheshimiwa Benjamin Wiliam Mkapa. Rais Dkt. Magufuli
alikwenda kumsalimia Rais mstaafu Mkapa nyumbani kwake Masaki jijini Dar
es Salaam mwishoni mwa wiki.
Picha na IKULU.
SHARE
No comments:
Post a Comment