Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hassan
akizungumza na Ujumbe wa kampuni ya Gezhouba kutoka China kuhusu masuala
ya uwekezaji. Kushoto ni kiongozi wa msafara huo Mhandisi Hu pend.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hassan akiwa
katika picha ya pamoja na Ujumbe wa kampuni ya Gezhouba kutoka China.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hassan
akizungumza na Mwenyekiti wa Shell Deepwater Tanzania BV Alex Knope
walipokutana leo ofisini kwake Ikulu kwa ajili ya kumsalimia.
SHARE
No comments:
Post a Comment