Mkuu wa
wilaya ya Urambo Bi,Angelina Kwingwa akikata utepe ishara ya kupokea
msaada wa madawati Miamoja kutoka kampuni ya Tigo kanda ya ziwa.
Mkuu wa wilaya ya Urambo Bi,Angelina Kwingwa Akitoa hotuba kwa wananchi wakati wa makabidhiano ya madawati wilayani hapo
Kamati ya
Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Urambo pamoja na Mkurugenzi wa Tigo
kanda ya Ziwa Bw.Ally Maswanya wakiwa wameketi katika madawati
yaliyotolewa na Tigo kusaidia Shule za Msingi wilaya ya Urambo.
Mkuu wa
wilaya ya Urambo Bi.Angelina Kwingwa na Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa
wakiwa wameketi kwenye Madawati pamoja na baadhi ya wanafunzi wa Shule
ya Msingi Ukombozi wilayani Urambo.(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment