Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki
(Mb) (kulia) akisisitiza jambo wakati wa maongezi na Balozi wa China
nchini Tanzania Dkt. Lu Youqing (wa pili kutoka kulia) alipomtembelea
ofisini kwake mapema leo.
Ujumbe
kutoka ubalozi wa China nchini ukimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (hayupo
pichani) ulipotembelea ofisini kwake mapema leo
Balozi wa
China nchini Tanzania Dkt. Lu Youqing (wa pili kutoka kulia) akifafanua
jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe.
Angellah Kairuki (Mb) (kulia) alipomtembelea ofisini kwake mapema leo.
Mwakilishi
Mkazi Mwandamizi kutoka Kitengo cha Uchumi na Biashara, Ubalozi wa
China nchini Tanzania Bw. Lin Zhiyong (wa pili kutoka kushoto)
akizungumza baada ya kikao kati ya Ujumbe kutoka ubalozi wa China nchini
na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe.
Angellah Kairuki (Mb) (kulia) kilichofanyika ofisi za Utumishi mapema
leo.(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment