TRA

TRA

Saturday, March 19, 2016

ZANTEL YAKABIDHI KOMPYUTA KWA KITUO CHA MKUBWA FELLA

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


zan1
Mtendaji Mkuu wa kampuni inayotoa huduma za simu Benoit Janin wa pili kutoka kushoto akiongea na wanahabari hawapo pichani katika hafla ya kuwakabidhi msaada wa kompyuta tatu kituo cha Mkubwa Fella. Wa pili kutoka kulia ni Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Sanaa Wizara ya Habari. Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Leah Kihimbi Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam leo 
zan2
Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Sanaa Wizara ya Habari. Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Leah Kihimbi wa pili kutoa kushoto akikabidhi msaada wa Kompyuta tatu kwa wawakilishi wa Mkubwa Fella wa kwanza kulia ni Bw. Yusuph Chambuso.
zan3
Baadhi ya wasanii wa kikundi cha Yamoto Bendi wakionyesha umahiri wao wa kuimba mbele ya wanahabari wakati wa hafla ya kukabidhiwa msaada wa kompyuta tatu kwa kikundi cha Mkubwa Fella iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na Benjamin Sawe).(P.T)

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger