Mwenyekiti
wa Tanzania Women of Achievement , Sadaka Gandi akiongea na washiriki
wa kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8
Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es
Salaam mapema jumapili.Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya
Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa
kijinsia.
Rais
wa Tanzania Women of Achievement Irene Kiwia akitoa hotuba ya ufunguzi
katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia
Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency,
jijini Dar es Salaam mapema jumapili.Kongamano hilo liliandaliwa na
Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa
uwiano sawa kijinsia.
Mgeni
Rasmi ,Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dk .Ashatu Kijaji akitoa hotuba
yake katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake
dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency,
jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo
liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye
kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia,
Mwongoza
Mada Modesta Mbughunia kifurahia jambo katika mjadala wa Uwiano sawa wa
kijinsia uliofanyika katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku
ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya
Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano
hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA)
yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia.
Mhadhiri
kutoka Centre of Foreign Relations and International Affairs Prof.Ruth
Meena akifafanua jambo wakati mjadala kuhusu uwiano sawa wa kijinsia
katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia
Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency,
jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo
liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na
kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia.
Mmoja
wa wazungumzaji wakuu Prof Slyvia Kaaya akichangia mada katika mjadala
wa uwiano sawa wa kijinsia pembeni yake ni Bi Mary Rusimbi aliyekuwa
mkurungezi mtendaji wa BOT ,na kulia kwake ni Mwenyekiti wa TAWLA Aisha
Bade ,anayefuatia ni Mtendaji Mkuu wa WOMEN FUND TANZANIA Mary Rusimbi
katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia
Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency,
jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo
liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na
kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia
Waziri
wa fedha mstaafu Mama Zakhia Meghji akichangia katika ya uwiano sawa
katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia
Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency,
jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo
liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na
kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia
Mwandishi
wa habari Mkongwe Bi Edda Sanga akichnagia mada ya Usawa wa Kijinsia
katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia
Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency,
jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo
liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na
kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia
Mfanyabiashara
na blogger Monica Joseph akichangia mada katika mjadala wa usawa wa
kijinsia katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake
dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency,
jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo
liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na
kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia
MC
Taji Liundi akiongoza utaratibu katika kongamano la shamrashamra za
kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini
katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili
iliyopita .Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of
Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia
Mwanafalsafa
Dk Elie Waminian akitoa mada katika kongamano la shamrashamra za
kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini
katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili
iliyopita .Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of
Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia
Mmoja
wa wasichana waliopata usimamizi (Mentorship ) kutokaTaasisi ya TWA
Dalini Kilemba akitoa ushuhuda kwa washiriki jinsi TWA walivyoweza
kubadilisha maisha yake katika kongamano la shamrashamra za kuelekea
siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi yaliyofanyika jijini katika hotel
ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili.Kongamano hilo
liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye
kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia
Mtendaji
Mkuu wa WOMEN FUND TANZANIA Mary Rusimbi ambaye alikuwa mmoja wa
wazungumzaji wakuu katika mazungumzo yaliyofanyika katika kongamano la
shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi akitoa
neno la shukrami kwa washiriki .Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi
ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano
sawa kijinsi
Mwanamzuki
CHi akitumbuiza katika katika kongamano la shamrashamra za kuelekea
siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel
ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita
.Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of
Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia
Washiriki
mbalimbali wa kongamano wakiweka saini zao katika ubao maalum katika
namna ya kutoa ahadi ya Uwiano sahihi wa kijinsia katika kongamano la
shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi
lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam
mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya
Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano
sawa kijinsia .
SHARE
No comments:
Post a Comment