This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
600w" alt="Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Vicent Mashinji" width="628"
height="472" style="display: block; margin-left: auto; margin-right:
auto;" />
Tayari
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamemtangaza Katibu Mkuu
wao mpya ambaye atakitumikia chama hicho kikuu na kikubwa cha upinzani
nchini, Katibu huyo si mwingine ni Dkt. Vicent Mashinje ambaye anashika
mikoba ya aliyekuwa akishika nafasi hiyo awali kabla ya kuachia ngazi,
Dk. Wilbroad Slaa.
Chadema
ambao wapo Mkoani Mwanza katika mkutano wao mkuu, usiku huu wameweza
kulitangaza jina hilo. Awali wanachama na kada mbalimbali walikuwa na
hamu ya kutaka kujua ni nani atashika wadhifa huo mkubwa kabisa ndani ya
chama huku kila mmojja kutokuwa na jibu sahihi awali kabla ya
Mwenyekiti wa chama hichi usiku huu, Freeman Mbowe, kuweka wazi jina
hilo.
Mjue kwa
ufupi hapa Katibu Mkuu Mpya wa Chadema: Ni miongoni mwa vijana wenye
kuleta mageuzi katika nyanja mbalimbali ni msomi wa kiwango cha juu,
kabila lake ni MSUKUMA wa Sengerema.
CV ya Katibu Mkuu Dr. Vincent B. Mashinji.(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment