Meneja
wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Musoffe Laurance, akimkabidhi
Cheti mshindi wa kwanza waMbio za Magunia kwa wanawake, Magreth John,
aliyeibuka kidedea katika mbio hizo wakati wa Bonanza maalum la
Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa
Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Machi 19,2016.
Mfanyakazi
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, akishiriki mchezo wa kukimbiza kuku,
wakati wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa Mfuko huo lililofanyika
kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa Jamii,jijini Dar es Salaam,leo Machi
19,2016.
Meneja
wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Musoffe Laurance, akimkabidhi
Cheti mshindi wa kwanza wa Mbio za Magunia kwa Wanaume, Tumainieli
Maleko, aliyeibuka kidedea katika mbio hizo wakati wa Bonanza maalum la
Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa
Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Machi 19,2016.
Meneja
wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Musoffe Laurance, akimkabidhi
Cheti mshindi wa kwanza wa Mbio za mita 200 kwa Wanawake, Susan Ringo,
aliyeibuka kidedea katika mbio hizo wakati wa Bonanza maalum la
Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa
Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Machi 19,2016.
Meneja
wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Musoffe Laurance, akimkabidhi
Cheti mshindi wa kwanza wa Mbio za Mita 200 kwa Wanaume, Elias Joseph,
aliyeibuka kidedea katika mbio hizo wakati wa Bonanza maalum la
Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa
Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Machi 19,2016.
Wafanyakazi
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakichuana katika mchezo wa mbio za
Magunia wakati wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika
kwenye Uwanja wa Chuocha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es
Salaam, leo Machi 19,2016. Katika mbio hizo Magreth John (mbele)
aliibuka kidedea.
Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakishiriki mbio za Kizunguzungu, wakati wa Bonanza hilo.
Meneja
wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Musoffe Laurance, akimkabidhi
Cheti mshindi wa pili wa Mbio za Mita 200 kwa Wanaume, Borrice Bwire,
aliyeibuka kidedea katika mbio hizo wakati wa Bonanza maalum la
Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa
Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Machi 19,2016.
Tumainieli
Maleko, akimalizia mbio za magunia na kushika nafasi ya kwanza wakati
wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa
PPF,lililofanyika leo Machi 19,2016 kwenye Uwanja wa Ustawi wa
Jamii,Jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakishiriki mazoezi ya pamoja wakati wa
Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa
Chuocha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Machi
19,2016.
Wafanyakazi
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakichuana katika mchezo wa mbio za
Magunia wakati wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika
kwenye Uwanja wa Chuocha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es
Salaam, leo Machi 19,2016. Katika mbio hizo Merey Sammy (kushoto)
alishika nafasi ya pili na Mery Malilo (kulia) aliibuka mshindi wa
tatu,huku nafasi ya kwanza ikichukuliwa na Magreth John (hayupo pichani)
Mfanyakazi
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Anthony Mkinga, akiruka kujaribu kumkamata
Kuku, wakati wa mchezo huo wa kufukuza kuku katika Bonanza maalum la
Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa
Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Machi 19,2016.
wa
Mfuko wa Pensheni wa PPF,wakishiriki mchezo wa kuvuta Kamba wakati wa
Bonanza maalum la Wafanyakazi wa Mfuko huo lililofanyika kwenye Uwanja
wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam,leo Machi
19,2016. Katika mchezo huo Wanawake waliibuka kidedea kwa kuwaburuza
wanaume.
Picha na MafotoBlog.
SHARE
No comments:
Post a Comment