TRA

TRA

Wednesday, March 23, 2016

Wahariri wa vyombo vya habari vya kidini watembelea kituo cha afya cha utoaji wa huduma za tiba na ushauri nasaha kwa watu wanaoishi na VVU

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

Wahariri wa vyombo vya habari za kidini wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa ziara ya kimafunzo mkoani Pwani, ziara hiyo imeandaliwa  na TACAIDS
Mhariri wa Habari kutoka Radio Maria Bi. Judidh Francis akiongea jambo katika ziara ya wahariri wa vyombo vya habari vya kidini katika kituo cha afya cha utoaji huduma za tiba na ushauri nasaha kwa watu wanaoishi na VVU kilichopo mkoani Pwani na mdaula Chalinze,ziara hiyo imeandaliwa  na TACAIDS
Mhariri wa Habari kutoka Radio Sauti ya Quran Bw. Sadiki Faki
akiongea jambo katika ziara ya wahariri wa vyombo vya habari vya kidini
katika kituo cha afya cha utoaji huduma za tiba na ushauri nasaha kwa
watu wanaoishi na VVU kilichopo mkoani Pwani na mdaula Chalinze,ziara
hiyo imeandaliwa  na TACAIDS
Mratibu wa TACAIDS mkoani Pwani Bw. Badru Abdunuru akiwafafanulia jambo wahariri wa vyombo vya kidini wakati wa ziara ya kujifunza iliyofanyika mkoani pwani katika Kituo cha utoaji wa  huduma za tiba na ushauri nasaha kwa watu wanaoishi na VVU kilichopo mkoani Pwani na mdaula Chalinze
Mratibu wa TACAIDS mkoani Pwani Bw. Badru Abdunuru akiwafafanulia jambo wahariri wa vyombo vya kidini wakati wa ziara ya kujifunza iliyofanyika mkoani pwani katika Kituo cha utoaji wa  huduma za tiba na ushauri nasaha kwa watu wanaoishi na VVU kilichopo mkoani Pwani na mdaula Chalinze
Mratibu wa TACAIDS mkoani Pwani Bw. Badru Abdunuru aliyesimama kulia akiwafafanulia jambo wahariri wa vyombo vya kidini wakati wa ziara ya kujifunza iliyofanyika mkoani pwani katika Kituo cha utoaji wa  huduma za tiba na ushauri nasaha kwa watu wanaoishi na VVU kilichopo mkoani Pwani na mdaula Chalinze
Msimamizi wa kituo cha Maarifa kwa ajili ya kutoa huduma za VVU kwa madereva wa masafa marefu wa kwanza kushoto aliyekaa mbele Bi. Amina Chandima akiwafafanulia jambo wahariri wa vyombo vya kidini wakati wa ziara ya kujifunza iliyofanyika mkoani pwani katika Kituo cha utoaji wa  huduma za tiba na ushauri nasaha kwa watu wanaoishi na VVU kilichopo mkoani Pwani na mdaula Chalinze
 
Wahariri wa vyombo vya habari za kidini walipotembelea kituo cha utoaji wa huduma za tiba na ushauri nasaha kwa watu wanaoishi na VVU mkoani Pwani, Wilayani Kibaha
Mhariri wa Tumaini Media Bw. Martin Kuhanga akiongea jambo wakati wa ziara ya wahariri wa vyombo vya habari vya kidini wakati wa ziara ya
kujifunza iliyofanyika  katika Kituo cha utoaji wa  huduma za tiba na ushauri nasaha kwa watu wanaoishi na VVU kilichopo mkoani Pwani na mdaula Chalinze
 
Msimamizi wa utoaji wa huduma za tiba na ushauri kwa watu
wanaoishi na VVU kutoka Wilaya ya Kibaha Daktari Robert Mwakyusa
akiongea jambo na wahariri wa vyombo vya habari za kidini wakati wa ziara ya kujifunza iliyofanyika mkoani pwani.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger