TRA

TRA

Saturday, April 30, 2016

Farid Mussa

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

Kutoka Club Deportive Tenerife Hispania kwenye majaribio ya Farid Musa wa Azam FC
Winga mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania na Azam FC Farid Musa yupo Hispania anaendelea na majaribio yake ya kutafuta nafasi ya kucheza soka la kulipwa, Farid ameendelea na majaribio yake Club Deportive Tenerife ya Hispania.
IMG-20160429-WA0016
Farid amethibitisha kuendelea vizuri kiafya lakini ameiambia millardayo.com kuwa ana siku ya nne Club Deportive Tenerife ambapo hapo anakaa wiki moja halafu anaendelea na majaribio katika vilabu vingine vya hapo Hispania alivyotafutiwa na wakala wake John Sorzano.
IMG-20160429-WA0017
IMG-20160429-WA0018

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger