TRA

TRA

Friday, April 8, 2016

MCHEZAJI NWANKO KANU ATEMBELEA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE MUHIMBILI

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


kanu1
Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Nigeria, Super Eagles, Nwankwo Kanu ambaye pia ni balozi wa makampuni ya StarTimes barani Afrika akiwasili katika Jengo la Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete lililopo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambako amewatembelea wagonjwa wa moyo leo. Kanu atakiwepo nchini kwa muda wa siku tano kushiriki shughuli mbalimbali za kampuni na kijamii.
kanu2
Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo, Dk Peter Kisenge katika taasisi hiyo akimkaribisha Nwankwo Kanu Ambaye pia ni balozi wa makampuni ya StarTimes barani Afrika. Kanu atakuwepo nchini kwa muda wa siku tano kushiriki shughuli mbalimbali za kampuni na kijamii.
kanu3
Nwankwo Kanu ambaye pia ni balozi wa makampuni ya StarTimes barani Afrika akimsikiliza Daktari bingwa katika Taasiai ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dk Peter Kisenge wakati akitoa taarifa fupi ya taasisi hiyo
kanu4
Aliyekuwa mchezaji nyota wa timu ya taifa ya Nigeria, Nwanko Kanu akifafanua jambo kwa madaktari wa taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo hospitali ya taifa ya Muhimbili wakati alipotembelea hapo.(P.T)

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger