Baadhi
ya wadau wa madini wakiwa tayari kwa mkutano ulio ahirishwa kutokana na
kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini.
Mwenyekiti
wa Umoja wa wafanyakazi wa Migodi na Viwanda (TMCE), Balozi Ami Mpungwe
(kulia) akiongea jambo kabla ya kuahirishwa kwa mkutano huo. Pamoja
naye ni Mwenyekiti wa Mkutano huo wa muda, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Taaluma Prof Florence Luoga (katikati)
na Mtendaji Mkuu wa Uongozi Institute, Profesa Joseph Semboja.
Baadhi
ya wadau wa madini wakiwa tayari kwa mkutano ulio ahirishwa kutokana na
kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini.
Baadhi
ya wadau wa madini wakiwa tayari kwa mkutano ulio ahirishwa kutokana na
kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini.
Baadhi
ya wadau wa madini wakiwa tayari kwa mkutano ulio ahirishwa kutokana na
kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini.
Muda
umekwisha, Yamkini Mtendaji Mkuu wa Uongozi Institute, Profesa Joseph
Semboja alikuwa akijiridhisha muda ili kujipanga kwa ratiba nyingine
baada ya kuahirishwa kwa mkutano wa wadau wa madini uliofanyika kwenye
ukumbi wa Kimtaifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam leo.
Makamu
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Taaluma Prof Florence
Luoga (kulia) akibadilishana mawazo na Naibu Rais wa Kampuni ya Acacia,
Deo Mwanyika (katikati) na Afisa Fedha Mkuu wa kampuni hiyo, Andrew Wray
kabla ya kuahirishwa kwa mkutano wa wadau wa madini uliofanyika kwenye
ukumbi wa Kimtaifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam leo. Mkutano huo
uliharishwa kutokana na kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya
Nishati na Madini.
Naibu
Rais wa Kampuni ya Acacia, Deo Mwanyika (kushoto) akifurahia jambo na
Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Eliakim Maswi baada ya kuahirishwa kwa
mkutano wa wadau wa madini ulikuwa ufanyike kwenye ukumbi wa Kimtaifa wa
Julius Nyerere Dar es Salaam leo. Mkutano huo uliharishwa kutokana na
kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini.Kushoto ni
Mkurugenzi Mtendaji wa NDC (Mstaafu) Gideon Nasari.
Naibu
Rais wa Kampuni ya Acacia, Deo Mwanyika (kushoto) akifurahia jambo na
Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Eliakim Maswi baada ya kuahirishwa kwa
mkutano wa wadau wa madini ulikuwa ufanyike kwenye ukumbi wa Kimtaifa wa
Julius Nyerere Dar es Salaam leo. Mkutano huo uliharishwa kutokana na
kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini.
Naibu
Rais wa Kampuni ya Acacia, Deo Mwanyika akiongea na waandishi wa habari
baada ya kuahirishwa kwa mkutano wa wadau wa madini ulikuwa ufanyike
kwenye ukumbi wa Kimtaifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam leo.
(Imeandaliwa na Robert Okanda Blogspots)
Baadhi
ya wadau wa madini wakiwa tayari kwa mkutano ulio ahirishwa kutokana na
kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini.
Baadhi
ya wadau wa madini wakiwa tayari kwa mkutano ulio ahirishwa kutokana na
kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini.
Baadhi
ya wadau wa madini wakibadilishana mawazo walipokuwa wanasubiri kuanza
kwa mkutano ambao hata hivyo ulioahirishwa kutokana na kutofika kwa
wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini.
Mtendaji
Mkuu wa Uongozi Institute, Profesa Joseph Semboja (kushoto)
akibadilishana mawazo na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam (UDSM) Taaluma, Prof Florence Luoga kabla ya kuahirishwa kwa
mkutano wa wadau wa madini uliofanyika kwenye ukumbi wa Kimtaifa wa
Julius Nyerere Dar es Salaam leo. Mkutano huo uliharishwakutoka na
kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini.
Mwenyekiti
wa Umoja wa wafanyakazi wa Migodi na Viwanda (TMCE), Balozi Ami Mpungwe
(kushoto) akibadilishana mawazo na Mtendaji Mkuu wa Uongozi Institute,
Profesa Joseph Semboja kabla ya kuahirishwa kwa mkutano wa wadau wa
madini uliofanyika kwenye ukumbi wa Kimtaifa wa Julius Nyerere Dar es
Salaam leo. Mkutano huo uliharishwakutoka na kutofika kwa wadau muhimu
kutoka Wizara ya Nishati na Madini.
Baadhi
ya wadau wa madini wakiwa tayari kwa mkutano ulio ahirishwa kutokana na
kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini.
Baadhi
ya wadau wa madini wakiwa tayari kwa mkutano ulio ahirishwa kutokana na
kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini.
Baadhi
ya wadau wa madini wakibadilishana mawazo kabla ya mkutano ulio
ahirishwa kutokana na kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati
na Madini.
Mwenyekiti
wa Umoja wa wafanyakazi wa Migodi na Viwanda (TMCE), Balozi Ami Mpungwe
(kulia) akibadilishana mawazo na Mtendaji Mkuu wa Uongozi Institute,
Profesa Joseph Semboja kabla ya kuahirishwa kwa mkutano wa wadau wa
madini uliofanyika kwenye ukumbi wa Kimtaifa wa Julius Nyerere Dar es
Salaam leo. Mkutano huo uliharishwa kutokana na kutofika kwa wadau
muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini.
SHARE
No comments:
Post a Comment