TRA

TRA

Wednesday, April 27, 2016

Rammy na furaha ya dili 3 Nigeria

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Staa kutoka Bongo Movie Rammy Galis alfajiri ya April 27 2016 alirudi Dar es Salaam akitokea Nigeria alipokuwa kapata mualiko wa kushirikishwa katika filamu na director mkubwa wa nchi hiyo, Rammy baada ya kurudi Tanzania akiwa Airport Dar es Salaam alithibitisha kupata dili la kuigiza movie nyingine mbili baada ya kufanya vizuri katika movie ya kwanza akiwa Nigeria.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger