TRA

TRA

Wednesday, April 27, 2016

Kitilya na wenzake warudishwa

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


April 01 2016 aliyekuwa Kamishna wa TRA, Harry KitilyaSioi Solomoni na aliyekuwa afisa mwandamizi wa benki ya Stanibic tawi la Tanzania na  Miss Tanzania wa mwaka 1996 Shose Sinare walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es salaam kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kosa  la utakatishaji fedha.
Kesi hiyo imeendelea April 27 2016 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo Mahakama imefutilia mbali shitaka la utakatishaji fedha lililokuwa linawakabili washitakiwa wote  hivyo washitakiwa wamebaki na mashitaka saba.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger