Marian
Jureck Waziri wa Kilimo wa wa Jamhuri ya watu wa Czech Republic
akiangalia chakula cha Ng’ombe wakati alipotembelea mashamba ya ng’ombe
na kiwanda cha MilkCom kinachomilikiwa na makampuni ya OilCom Group
kilichopo Kigamboni wilayani Temeke jijini Dar es salaam akiongozana
na ujumbe wa wafanyabiashara kutoka nchini humo, Ujumbe huo ulikuja
nchini kwa lengo la kuangalia fursa za uwekezaji zilizopo nchini
Tanzania na ushirikiano wa kibiashara kati ya nchi hizi mbili.(PICHA NA
JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-KIGAMBONI)
Marian
Jureck Waziri wa Kilimo wa wa Jamhuri ya watu wa Czech Republic
akiongozwa na Mkurugenzi wa kiwanda cha Milkcom Bw. Salum Nahdi wakati
alipokuwa akitembelea kiwanda hicho.
Baadhi ya ng’ombe katika shabla la kampuni ya MilkCom
Mkurugenzi
wa Kiwanda cha Milkcom Bw. Salum Nahdi kulia, Mh. Balozi wa Heshima wa
Jamhuri ya Czech Republic nchini Tanzania Mh.John Chaggama na SAid Nahdi
Mkurugenzi wa Makampuni ya OilCom Group wakifurahia jambo wakati wa
ziara hiyo ya ujumbe wa Czech Republic. (P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment