
Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza, William Hague, akitoa hotuba yenye ujumbe kuulinda mustakabali wetu.
Uingereza
imetoa msimamo wake kwamba itapeleka meli na askari wa majini kutoka
katika ufalme wake nchini Libya ili kusaidia kutoa mafunzo kwa walinzi
wa pwani wawe na uwezo wa kuzuia biashara ya ulanguzi kwa watu wanaotaka
kuvuka bahari ya Mediterranean.
Maofisa
hao wameeleza pia kuwa wanatafuta kibali cha umoja wa mataifa kwa ajili
ya meli ya kuzuia boti za magendo ya silaha dhidi ya kundi Islamic
State.
Mapema,
wahamiaji kadhaa wa kadhaa walihofiwa kuzama wakati mashua zao zilizo
kuwa na msongamano mkubwa zilipopinduka pwani ya Libya.
Walinzi
wa pwani ya Italia wanasema kwamba hatua hiyo imesaidia kuokoa maisha ya
wahamiaji elfu nne waliokuwa wakijaribu kuvuka bahari ya Mediterranean
wiki hii.BBC
SHARE
No comments:
Post a Comment