
Makamo wa
Rais wa Muungano wa Comoro Mhe,Jafar Ahmada Sais wa kisiwa cha Ngazija
akiapishwa jana na Jaji wa mahakama ya katiba ya Nchi hiyo Mhe,Loutfi
Soulaimane (hayupo pichani ) wakati wa sherehe za kuapishwa Rais kanali
Azali na makamo wake 3 iliyofanyika jana baada ya ushindi wa uchaguzi
Mkuu uliofanyika Aprili 10 na marudio ya uchaguzi huo uliofanyika
mwezi mei 11 mwaka huu,hafla ilifanyika uwanja wa mpira mjini Ngazija
jana,[Picha na Ikulu.] 26 mey 2016.

Rais Mpya
wa Muungano wa Comoro Mhe, Kanali Azali Assoumani Boinakheri akitoa
hutuba yake katika sherehe za kuapishwa zilizofanyika jana kufuatia
kushinda Uchaguzi Mkuu uliofanyika April Kumi (10) na uchaguzi wa
marudio uliofanyika mey 11 mwaka huu,hafla ya sherehe ilifanyika uwanja
wa mpira Mjini Ngazija nchini Comoro,

Rais
Mstaafu wa Muungano wa Comoro Mhe,Dkt.Ikililou Dhoinine (kulia) akiwa na
Rais Mpya wa Muungano wa Comoro Mhe, Kanali Azali Assoumani Boinakheri
(wa pili kulia) mara baada ya kuapishwa akiwa na Makamo wake wawili
Mhe,Abdullah Said Sharman (kushoto) wa Kisiwa cha Mwali na
Mhe,Mustarigan Aboud wa Kisiwa cha Anjouan (wa pili kushoto) katika
uwanja wa mpira mjini Ngazija nchini Comoro jana,

Rais
Mstaafu wa Muungano wa Comoro Mhe,Dkt.Ikililou Dhoinine (kulia) akiwa
katikapicha na Rais Mpya wa Muungano wa Comoro Mhe, Kanali Azali
Assoumani Boinakheri mara baada ya kuapishwa jana baada ya kushinda
uchaguzi Mkuu wa April kumi(10) na uchaguzi wa marudio wa mei kumi na
moja mwaka huu hafla ilifanyika jana uwanja wa Mpira Mjini Ngazija
nchini Comoro,

Rais Mpya
wa Muungano wa Comoro Mhe, Kanali Azali Assoumani Boinakheri akitoa
salamu kwa kikosi cha Bendera mara baada ya kuapishwa jana akiwa
mshindi katika kushinda uchaguzi Mkuu wa April kumi(10) na uchaguzi wa
marudio wa mei kumi na moja mwaka huu hafla ilifanyika jana uwanja wa
Mpira Mjini Ngazija nchini Comoro,

Rais Mpya
wa Muungano wa Comoro Mhe, Kanali Azali Assoumani Boinakheri
akisalimiana na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi Comoro mara baada ya
kuapishwa jana kwa kushinda uchaguzi mkuu wa April 10 na uchaguzi wa
Marudio wa Mei 11 mwaka huu hafla ilifanyika jana uwanja wa Mpira Mjini
Ngazija nchini Comoro,

Vikosi
vya majeshi ya Ulinzi vya Comoro vikitoa heshama kwa Rais Mpya wa
Muungano wa Comoro Mhe, Kanali Azali Assoumani Boinakheri aliyeapishwa
jana na jaji Mkuu wa Mahakama ya Katiba Mhe,Loutfi Soulaimane katika
sherehe zilizofanyila uwanja wa mpira Mjini Ngazija nchini Comoro,
[Picha na Ikulu.]26 mey 2016.(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment