Ulinzi wa polisi viwanja vya mahakama kuu kanda ya Iringa leo kabla ya mtuhumiwa wa mauwaji kufikishwa
Wananchi wakiwa foleni kukaguliwa kabla ya kuingia mahakamani leo
Mtuhumiwa wa mauwaji ya Mwangosi akipakiwa kwenye gari za FFU
Msafala wa gari za FFU zilizomsindikiz askari mwenzao anayekutwa na kosa la kuua bila kukusudia leo
Askari wa FFU wakitoka mbio mahakamani hapo
Wananchi na wanahabari wakitoka mahakamani hapo (P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment