Msafara
wa Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli ukiwasili kwenye uwanja
wa Mashujaa tayari kwa maadhimisho hayo yaliyofanyika katika Mnara wa
kumbukumbu ya Mashujaa mjini Dodoma leo Julai 25, 2016 (PICHA JOHN
BUKUKU-FULLSHANGWE-DODOMA NA IKULU)
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na viongozi
mbalimbali mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Mashujaa tayari kwa
kuongoza maadhimisho hayo yaliyofanyika katika Mnara wa kumbukumbu ya
Mashujaa mjini Dodoma leo Julai 25, 2016
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akiielekea kwenye mnara wa
kumbukumbu tayari kwa kuongoza maadhimisho ya mashujaa katika Mnara wa
kumbukumbu wa Mashujaa mjini Dodoma leo Julai 25, 2016
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akitoa heshima mara baada ya
kuweka Sime na ngao katika Mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa alipoongoza
Madhimisho ya Siku ya Mashuja mjini Dodoma leo Julai 25, 2016
Baadhi ya
askari wa vikosi vya majeshi ya ulinzi na usalama vikiwa vimejiweka
tayari kwa ajili ya maadhimisho ya kumbukumbu ya mashujaa
iliyoadhimishwa leo kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma.
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akielekea kwenye mnara tayari
kwa kuweka Sime na ngao katika Mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa
alipoongoza Madhimisho ya Siku ya Mashuja mjini Dodoma leo Julai 25,
2016
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akikabidhiwa Sime ili kuweka
katika Mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa alipoongoza Madhimisho ya Siku ya
Mashuja mjini Dodoma leo Julai 25, 2016 (P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment