
asante mama kwa kuniweka tumboni mwako miezi 9
nikanyonya
maziwa yako miaka 2 sina cha kukulipa kwa malezi uliyonilea na
kunifundisha kazi mbalimbali zikiwemo za nyumbani na kua na heshima kwa
jamii na kutokua na tabia ya udokozi na sasa nafurahia matunda ya riziki
ya halali niipatayo ambayo mungu anaendelea kunizjaalia , zaidi
nakukuombea maisha marefu mungu awe nasi, mama
yangu Mariam Khamisi nakutakia maisha yenye baraka tele.
(picha na Mmiliki wa ujijirahaa blog)
SHARE
No comments:
Post a Comment