Naibu Waziri, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Anthony
Mavunde akizungumza mara baada ya kuongoza matembezi ya uhamasishaji wa
Umma kuhusu umuhimu wa Afya ya Kinywa na Meno leo machi 19, mwaka huu
Mjini Dodoma katika eneo la Nyerere Square ambapo kilele cha wiki ya
afya ya kinywa na meno Tanznaia na maadhimisho ya siku ya afya ya kinywa
na meno duniani yanatarajiwa kufanyika machi leo 20. eneo hilo na
mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Waziri, ofisi ya rais, TAMISEMI , Mhe
George Simbachawene,
Meneja
wa Benk Tawi la NMB Dodoma, Rehema Nassib (wa pili kushoto)
akimsikiliza kwa makini mgeni rasmi alipokuwa akizungumza katika eneo la
Nyerere square mara baada ya matembezi ya uhamasishaji wa Umma kuhusu
umuhimu wa Afya ya Kinywa na Meno leo, kuanzia kulia ni Daktari wa
Kinywa na Meno Hospitali ya Huruma CDH ya Mkoani Kilimanjaro Sr,
Benjamine Buya, Mwalimu, Ingnatia Masinde na kushoto ni Mtendaji Mkuu na
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Al-Misbahul Muniyr International
Society Foundition (AMISF), Mussa Kazimiry
Naibu
Waziri, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde
(wa tatu kulia) aongoza matembezi ya uhamasishaji wa Umma kuhusu
umuhimu wa Afya ya Kinywa na Meno leo mjini Dodoma katika eneo la
Nyerere square ambapo kilele cha wiki ya afya ya kinywa na meno
Tanznaia na maadhimisho ya siku ya afya ya kinywa na meno duniani
yatafanyika leo katika eneo hilo,mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mhe,
George Simbachawene, Waziri, ofisi ya rais, TAMISEMI
Wakiwa katika Maandamano katika baadhi ya Barabara za Dodoma
Bendi
ya Askari ya JKT Makutupora Dodoma ikiongozwa na Afisa Mteule Daraja
la Pili (WO2) , Dafroza Pesambili ikipita mbele ya mgeni rasmi baada
ya kumaliza matembezi hayo
Mgeni rasmi, Anthony Mavunde (wa tatu kushoto) akipokea maadamano hayo
Mkuu
wa Wilaya, dodoma, Christina Mndeme akisalimia wananchi na wadau
walioshiriki matembezi hayo, kushoto ni naibu mwenyekiti wa bodi ya wa
dhamini wa Chama Cha Madaktari wa Kinywa na Meno, Halima Mamuya
Rais
wa Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania (TDA) na daktari
bingwa na mkuu wa kitengo cha restorative dentistry, MUHAS. akitowa
utambulisho wa msafara wa Mataktari wake alioongozana nao
Wanafunzi wa Sekondari ya Dodoma wakicheza kwaito baada ya maadhimisho hayo
Baadhi ya Madaktari na wananchi wakisikiliza kwa umakini
Daktari
wa Kinywa na Meno Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi
ya Maadhimisho hayo, Dkt. Samwel Seseja akizungumza jambo baada ya
matembezi hayo
Mgeni rasmi katika picha ya pamoja na Madaktari na viongozi mbalimbali
Wanafunzi wa Sekondari ya Dodoma wakiwa katika picha ya pamoja baada ya matembezi hayo. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
SHARE
No comments:
Post a Comment