Maswali muhimu kwa mwanamke, mwanaume
Na Julian Msacky
Karibuni katika safu hii mpya ya kukumbushana wajibu wetu hasa kwa mwanamke na mwanaume. Leo ninapenda kuhoji maswali haya machache
Ni wangapi leo hii anajua mume au mke wake amevaa nguo ya aina gani wakati anakwenda kazini kama kweli mnapendana kwa dhati? Ni wangapi? Nijulisheni kwa mawasiliano yaliyopo kwenye blog hii.
SHARE








No comments:
Post a Comment