Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimuapisha Nd, Hassan Khatib Hassan kuwa Naibu Katibu Mkuu,
Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na
Watoto,atayeshuhulikia masuala ya Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto,katika
hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akipeana mkono wa shukurani na Nd,Hassan Khatib Hassan,baada
ya kumuapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya
Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto,atayeshuhulikia masuala
ya Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto,katika hafla iliyofanyika ukumbi wa
Ikulu Mjini Unguja leo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimuapisha ACP Sida Mohamed Himid kuwa Naibu Katibu Mkuu,
Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ,
anayeshughulikia Idara Maalum za SMZ,katika hafla iliyofanyika ukumbi wa
Ikulu Mjini Unguja leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimkabidhi hati ya kiapo ACP Sida Mohamed Himid baada ya
kumuapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais,Tawala za
Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, anayeshuhulikia Idara
Maalum za SMZ, katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
leo.
SHARE












No comments:
Post a Comment