Na Julian Msacky
Habari za Jumamosi. Kama kawaida tunakutana tena kwenye safu hii ya kuambizana ukweli ili kujengana vizuri kitabia na uhusiano.
Hii ni wikiendi. Wewe mwanaume umepanga chochote na mke wako au umpendaye? Au ni ubize tu kuanzia Jumatatu hadi Jumapili? Unatarajia kumtoa out mwenzako leo?
Ni jambo gani linakuudhi au kukuumiza mwenzako asipokufanyia hivyo. Tuma maoni kwa mawasiliano yaliyopo kwenye blog hii.
SHARE








No comments:
Post a Comment