TRA

TRA

Sunday, August 21, 2016

Waziri mkuu wa Singapore kuachia madaraka kutokana na ugonjwa

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !



Badaye alizungumzia tukio hilo na kumshukru kila mtu kwa kumsubiri
Waziri Mkuu wa Singapore,Lee Hsien Loong, amesema kuwa mrithi wake awe tayari kuchukua madaraka baada ya uchaguzi Mkuu ujao.
Ameyasema hayo kwa njia ya Televisheni muda mfupi baada ya kuvunjwa kwa siku ya kitaifa ya kusanyiko lililosimamishwa kwa muda.
Badaye alizungumzia tukio hilo na kumshukru kila mtu kwa kumsubiri ili aendelee na hotuba yake, na kuongeza kuwa anafahamu kuwa kila mtu aliogopa kile kitakachotokea.
Ofisi yake imesema Bwana Lee anasumbuliwa na magonjwa ya moyo na upungufu wa maji baada ya kusimama kwa muda mrefu.BBC

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger