
Pichani
Mhe. Kairuki (kushoto) akipokewa na baadhi ya watendaji Mkoani Kagera,
katikati ni Katibu Tawala -Mkoa wa Kagera Bw. Amantius Msole.
Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akisalimiana na watendaji kwenye uwanja
wa ndege wa Bukoba ambapo anatarajiwa kukutana na Watumishi wa Umma
mkoani Kagera, Jumatatu tarehe 22 Agusti 2016.(P.T)
SHARE








No comments:
Post a Comment