Baadhi ya
Wananchi wakijaza Fomu ya Kujiunga na WOTE SCHEME katika Banda la PPF
Viwanja vya Nane Nane Ngongo Kama Picha Inavyoonekana Afisa Uhusiano
Mwandamizi, Janet Ezekiel akitoa maelekezo ya Jinsi ya Kujaza Fomu Hizo.
Wananchi waliotembelea Banda la PPF, wakimsikiliza kwa Makini Afisa Masoko PPF Wakati akitoa Elimu Juu ya Mfumo wa WOTE SCHEME.
Baadhi ya
Wananchi wakijaza Fomu ya Kujiunga na WOTE SCHEME katika Banda la PPF
Viwanja vya Nane Nane Ngongo Kama Picha Inavyoonekana Afisa Uhusiano
Mwandamizi, Janet Ezekiel na Afisa Masoko PPF, Wakitoa maelekezo ya
Jinsi ya Kujaza Fomu Hizo
Afisa Uhusiano Mwandamizi, Janet Ezekiel akimkabidhi kadi ya WOTE SCHEME kwa mwananchi aliyejiunga na Mfuko huo.
Mfuko wa
Pensheni wa PPF upo katika Viwanja vya Ngongo Manispaa ya Lindi katika
Maonesho ya Nane nane ili Kutoa Elimu kwa Wananchi juu ya Mfumo wa WOTE
SCHEME kwa Sekta Binafsi kama Vile Wakulima,Wafugaji, Mama Lishe,
Madereva Bodaboda na Wajasilamali mbalimbali ili waweze kujiwekea Akiba
wakati huohuo wakinufaika na Bima ya Afya, Mikopo kwa Ajili ya
Kujiendeleza Kielimu, Kuongeza Mtaji na Kunufaika na Pensheni za kila
Mwezi.
Akiongea na Lindiyetu.com Bi
Janeth ametoa wito kwa wadau mbalimbali kutembelea Banda hilo la PPF
kwa ajili kupata elimu na kujiunga na mfuko huo na kufaidika na fursa
zinazotolewa na PPF. (P.T
SHARE
No comments:
Post a Comment