
Mwenyekiti
Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete, akiwa katika mazungumzo
na Ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala
ya Kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, leo, kwenye Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni
kiongozi wa Ujumbe huo Li Lin.

Mwenyekiti mstaafu wa CCM akimpatia kipeperushi Mkuu wa msafara kutoka Jimbo a Fujian China

Baadhi ya wajume wakitazama kipeperushi hicho

Mwenyekiti
Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimkabidhi zawadi maalum
Mkuu wa Msafara wa ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa
Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, Mwenyekiti
wa Umoja huo, Li Lin, baada ya mazungumzo hayo

Mwenyekiti
Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akikabidhiwa zawadi maalum
na Mkuu wa Msafara wa ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa
Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, Mwenyekiti
wa Umoja huo, Li Lin, alipowasili ukumbini tayari kwa mazungumzo

Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akikabidhiwa
zawadi maalum na Mkuu wa Msafara wa ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na
Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian
China, Mwenyekiti wa Umoja huo, Li Lin, alipowasili ukumbini tayari kwa
mazungumzo

Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akibadilishana
mawazo Mkuu wa Msafara wa ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje
wa Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China,
Mwenyekiti wa Umoja huo, Li Lin, alipowasili ukumbini tayari kwa
mazungumzo

Mwenyekiti
Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya
pamoja na Ujumbe huo kutoka Fujian na Ujumbe wa upande wake baada ya
mazungumzo

Mwenyekiti
Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimpongeza kwa kazi nzuri,
Profesa wa masuala ya Kilimo, Lin Zhanx bada ya picha ya pamoja.
Kikwete amevutiwa na Profesa huyo kwa kuweza kugudua uoteshaji wa uyoga
mahsusi kwa dawa badala ya ule wa chakula tu.

Mwenyekiti
Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimtambulisha Profesa
huyo, kwa Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba

Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiagana na mkuu wa msafara wa ujumbe huo kutoka Fujian

Wageni wakipanda gari kuondoka Ofisi Ndogo ya MakaoMakuu ya CCM, Lumumba jijni Dar es Salaam, baada ya mazungumzo hayo

Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiteta na Tizeba baada ya wageni kuondoka

Kisha naye akawaaga kabla ya kuondoka. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
SHARE








No comments:
Post a Comment