Afisa
Tawala Wilaya ya Nyamagana, Kombe Danty (wa pili kushoto), akizungumza
kwenye ungaji wa Mafunzo/Semina ya Utetezi wa Haki za Binadamu katika
Sekta ya Madini nchini hii leo jijni Mwanza.
Na George Binagi-GB Pazzo
Mkuu
wa Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, Mary Tesha, amesema Serikali
itaendelea kushirikiana na Watetezi wa Haki za Binadamu nchini ikiwemo
kuweka mazingira salama katika utendaji wao wa kazi.
Tesha
ameyasema hayo hii leo Jijini Mwanza, katika hotuba yake iliyosomwa na
Afisa Tawala Wilaya ya Nyamagana, Kombe Danty, kwenye ungaji wa
Mafunzo/Semina ya Utetezi wa Haki za Binadamu katika Sekta ya Madini
nchini.
Naye
Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu nchini, Onesmo
Olengurumwa, amesema mtandao huo umekuwa ukitoa semna kwa watetezi
mbalimbali wa haki za binadamu ili kuwajengea uwezo wa kufanya kazi bila
migogoro yoyote na serikali.
Kutoka ni
Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Heri Nkoromo, Afisa Tawala
Wilaya ya Nyamagana, Kombe Danty, Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki
za Binadamu nchini, Onesmo Olengurumwa na Mratibu wa Mtandao wa
Watetezi wa Haki za Binadamu mikoa ya Mara, Mwanza na Simiyu, Antony
Mayunga.
Katibu wa
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Heri Nkoromo, akizungumza kwa niaba ya
mbunge huyo, ambapo amewasihi washiriki wa mafunzo hayo kufikisha elimu
waliyoipata kwa watetezi wengine ambao hawakubahatika kuhudhuria semina
hiyo.
Mratibu
wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu nchini, Onesmo Olengurumwa
(kulia), anasema wakati mwingine Watetezi wa Haki za Binadamu wamekuwa
wakichukuliwa kama wachochezi kwenye jamii jambo ambalo si sahihi.
Washiriki
wa Semina hiyo ya siku tatu, iliyoanza Agosti 31,2016 wamepatiwa vyeti
vya ushiriki ambapo pichani ni Jimmy Luhende kutoka taasisi ya Utawala
Bora nchini, akipokea cheti cha ushiriki.
Angel Benedict kutoka Shirika la Kutetea Wafanyakazi wa Majumbani, Wote Sawa, la Jijini Mwanza, akipokea cheti cha Ushiriki.
Mwanahabari na Mwendeshaji wa Mtandao wa Mabadiliko Forums, akipokea Cheti cha Ushiriki.
Mshiriki akipokea cheti cha Ushiriki
Mshiriki akipokea cheti cha Ushiriki
Mshiriki akipokea cheti cha Ushiriki
Mshiriki akipokea cheti cha Ushiriki
Mtandao
wa Watetezi wa Haki za Binadamu nchini (THRD) unajumuisha Watetezi/Watu
wanaotetea haki mbalimbali katika jamii ikiwemo kwa makundi ya Wakulima,
Wafugaji, Waandishi wa Habari, Wanasheria, Katiba, Utawala Bora,
Watoto, Wanawake miongoni mwa makundi mengi katika jamii.(P.T)
SHARE








No comments:
Post a Comment