
Meneja wa
kitengo cha Masoko wa Benki ya Diamond Trust (DTB), Sylvester Bahati
(kulia), akikabidhi magodoro 50 kwa Mkuu wa kituo cha watoto wenye
mahitaji aalumu kilichopo Chamazi, Bi. Winfrida Rubanza. Pichani chini
ni Bi. Winfrida Rubanza akihojiwa na mwandishi wa habari. Tukio hili
liliratibiwa na Benki ya Diamond Trust ikishirikiana na Bi Lorna Dadi
ambaye ni mwandishi wa kitabu cha Vipande Vya Maisha.

SHARE








No comments:
Post a Comment