Baadhi ya
Maofisa wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kitengo cha mauzo (katikati)
wakiwahudumia wateja kwenye Mkutano Mkuu wa 14 wa Wahandisi ambapo
mbali na mkutano huo kampuni kadhaa ikiwemo TTCL zilipata fursa ya
kuonesha baadhi ya bidhaa zao. Mkutano Mkuu wa 14 wa Wahandisi
unafanyika kwa siku mbili katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es
Salaam.

Mmoja wa
maofisa wa Kampuni ya Simu Tanzania, TTCL (kushoto) akitoa ufafanuzi
kwa baadhi ya wateja juu ya bidhaa za TTCL kwenye maonesho ya bidhaa na
huduma mbalimbali zinazotolewa na shirika hilo. Kampuni ya TTCL
imepeleka bidhaa zao na huduma kuwaonesha wakandarasi.

Baadhi
ya wakandarasi wakitembelea mabanda anuai kwenye Mkutano Mkuu wa 14 wa
Wahandisi ambapo mbali na mkutano huo kampuni kadhaa ikiwemo TTCL
zilipata fursa ya kuonesha baadhi ya bidhaa zao.

Baadhi
ya wakandarasi wakitembelea mabanda anuai kwenye Mkutano Mkuu wa 14 wa
Wahandisi ambapo mbali na mkutano huo kampuni kadhaa ikiwemo TTCL
zilipata fursa ya kuonesha baadhi ya bidhaa zao.

Baadhi
ya wakandarasi wakipata huduma mbalimbali zinazotolewa na Kampuni ya
Simu Tanzania (TTCL) kwenye Mkutano Mkuu wa 14 wa Wahandisi ambapo mbali
na mkutano huo kampuni kadhaa ikiwemo TTCL zilipata fursa ya kuonesha
baadhi ya bidhaa zao.

ya Maofisa wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kitengo cha mauzo
wakiwahudumia wateja kwenye Mkutano Mkuu wa 14 wa Wahandisi ambapo mbali
na mkutano huo kampuni kadhaa ikiwemo TTCL zilipata fursa ya kuonesha
baadhi ya bidhaa zao. Mkutano Mkuu wa 14 wa Wahandisi unafanyika kwa
siku mbili katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Mmoja wa
maofisa wa Kampuni ya Simu Tanzania, TTCL (kulia) akitoa huduma kwa
baadhi ya wateja juu ya bidhaa za TTCL kwenye maonesho ya bidhaa na
huduma mbalimbali zinazotolewa na shirika hilo. Kampuni ya TTCL
imepeleka bidhaa zao na huduma kuwaonesha wakandarasi.

Mmoja wa
maofisa wa Kampuni ya Simu Tanzania, TTCL (kulia) akitoa ufafanuzi kwa
baadhi ya wateja juu ya bidhaa za TTCL kwenye maonesho ya bidhaa na
huduma mbalimbali zinazotolewa na shirika hilo. Kampuni ya TTCL
imepeleka bidhaa zao na huduma kuwaonesha wakandarasi.(P.T)
SHARE

No comments:
Post a Comment