Mkurugenzi
mtendaji wa
halmashauri ya wilaya ya Ileje Haji Mnasi akiandika baadhi ya hoja
kutoka kwa baadhi ya wasimamizi wa mitihani ya darasa la saba
inayotarajiwa kufanyika siku ya jumatano
tarehe 07 /09 /2016 na alhamisi tarehe 08 /09 /2016.
baadhi ya wasimamizi wa mitihani ya darasa la saba wakimsikiliza Mkurugenzi mtendaji wa
halmashauri ya wilaya ya Ileje Haji Mnasi.
SHARE
No comments:
Post a Comment