
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan
Lugimbana baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma kwa ajili
ya vikao vya Bunge vinavyotarajiwa kuanza Septemba 6, 2016. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Jenista Mhagama baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma
kwa ajili ya vikao vya Bunge vinavyotarajiwa kuanza Septemba 6, 2016.(P.T)
SHARE








No comments:
Post a Comment