Mkuu
wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Profesa Shadrack Mwakalila
(kushoto), Naibu Mkuu wa Chuo Mipango, Fedha na Utawala, Dk. Magreth
Shawa na Naibu Ktibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia, Dk.
Leonard Akwilapo (kulia), wakiteta jambo kabla ya maandamano ya kuelekea
eneo maalumu lililotengwa kwa ajili ya mahafali ya 11 ya chuo hicho
yaliyofanyika Dar es Salaam jana. |
No comments:
Post a Comment