Mojawapo ya vipaumbele vya Fillon ni kuongeza masoko kwa Ufaransa
Waziri
mkuu mstaafu wa ufaransa Francois Fillon, anaongoza kwa ushindi katika
mzunguko wa kwanza wa mchujo wa mgombea Urais katika chama cha mrengo wa
kulia cha Republicans.
Kwa zaidi
ya robo tatu ya kura zilizohesabiwa Fillon anamtangulia waziri mstaafu
Alain Juppe, na Rais wa zamani Nicholous Sarkozy aliyemaliza muda wake
ambaye ameshikilia nafasi ya tatu.
Sarkozy amekubali kushindwa na ameahidi kumpigia kura Fillon katika mpambano unaofuata siku ya Jumapili.
Yeyote atakayeshinda, atakuwa Rais wa Ufaransa kwa kumshinda mrengo wa kulia Bi Marine Le Pen mwenye msimamo wa kijamaa.BBC
SHARE
No comments:
Post a Comment