TRA

TRA

Thursday, November 3, 2016

ZANTEL YAZIDI KUSOGEZA HUDUMA KARIBU KWA WATEJA WAKE

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


zal1
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Zantel, Benoit Janin (kushoto), akisalimiana  na mkazi wa Bugururuni, Awadh Selemani,  Dar es Salaam jana, katika moja ya kampeni za masoko katika kufikisha huduma na bidhaa zao karibu kwa wateja. Zantel imemaliza hivi karibuni ukarabati mkubwa wa mtandao wake wa 3G na 4G wenye lengo la kuboresha ubora wa huduma za intaneti na sauti hivyo kupatikana kwa  zaidi za asimilia 85 ya Tanzania. 
zal2
Mkuu wa Mauzo wa Zantel, Herbert Louis (kushoto) na baadhi ya wafanyakazi wa timu ya mauzo, wakizungumza na baadhi ya wakazi wa  Bugururu,  Dar es Salaam, katika moja ya kampeni za masoko kufikisha huduma na bidhaa zao karibu kwa wateja. Zantel imemaliza hivi karibuni ukarabati mkubwa wa mtandao wake wa 3G na 4G wenye lengo la kuboresha ubora wa huduma za intaneti na sauti hivyo kupatikana zaidi za asimilia 85 ya Tanzania. 
zal3
Mkuu wa Masoko wa Zantel, Gasper Mbowa (katikati) na Naibu Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Zadok Prescott (kulia), wakiwafahamisha wafanyabiashara wa soko la Kariakoo, Dar es Salaam, Yassin Hassani (kushoto) na Abdallah Issa, baadhi ya huduma za kampuni hiyo  katika moja ya kampeni za masoko kufikisha huduma  zao karibu na wateja. Zantel imemaliza hivi karibuni ukarabati mkubwa wa mtandao wake wa 3G na 4G wenye lengo la kuboresha ubora wa huduma za intaneti na sauti hivyo kupatikana zaidi za asimilia 85 ya Tanzania. 
zal4
Mkuu wa Mauzo wa Zantel, Herbert Louis (kushoto) akizungumza na baadhi ya wapiti njia katika mtaa wa Kongo,  Dar es Salaam jana, katika moja ya kampeni za masoko kufikisha huduma na bidhaa zao karibu kwa wateja. Zantel imemaliza hivi karibuni ukarabati mkubwa wa mtandao wake wa 3G na 4G wenye lengo la kuboresha ubora wa huduma za intaneti na sauti hivyo kupatikana zaidi za asimilia 85 ya Tanzania. 
zal5
Maofisa wa Zantel wakizungumza na wachuuzi wa matunda karibu ya soko la buguruni, Dar es Salaam, katika moja ya kampeni za masoko kufikisha huduma na bidhaa zao karibu kwa wateja. Zantel imemaliza hivi karibuni ukarabati mkubwa wa mtandao wake wa 3G na 4G wenye lengo la kuboresha ubora wa huduma za intaneti na sauti hivyo kupatikana zaidi za asimilia 85 ya Tanzania.  Kutoka kushoto ni, Mkuu wa Masoko, Gasper Mboya, Ofisa Mtendaji Mkuu, Benoit Janin na Mkuu wa Mauzo, Herbert Louis.
zal6
Maofisa wa ngazi ya juu wa  Zantel wakibadilishana mawazo karibu na soko la Buguruni, Dar es Salaam walipokwenda pamoja na timu ya mauzo kuzungumza na wateja na wakazi wa maeneo hayo kuhusu huduma za Zantel na jjnsi ilivyojipanga upya kuwaletea huduma bora. Kutoka kushoto; Ofisa Mtendaji Mkuu, Benoit Janin, Kaimu CEO, Zadok Prescott,  Mkuu wa Masoko, Gasper Mboya na Mkuu wa Mauzo, Herbert Louis.(P.T)

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger