Mkuu wa
Mkoa wa Mwanza, John Mongela (watatu kulia) akikabidhi hundi kwa
mawanachama wa Mfuko wa LAPF, Nchama Renatus (wapili kushoto) ambaye ni
mnufaika wa fao lazazi kwa wanawake wanachama wa mfuko huo na kuhuhudiwa
na wanufaika wengine wa Mkoani Mwanza jana. Kushoto ni Meneja wa LAPF
Kanda ya Ziwa, Yesaya Mwakifulefule ambapo alisema Sh bilioni 8.3
zimetumika kuwalipa fao la uzazi wanawake wanachama wa mfuko huo.
Mfuko wa LAPF umeweza kulipa fao la uzazi kwa jumla ya wanchama elfu kumi Tangu mfuko huo uanze kulipa fao hilo kwa wanchama wake mwaka 2012.
Akiongea
katika hafla hiyo Meneja wa LAPF, Kanda ya ziwa, Yessaya Mwakifulefule
amesema LAPF imetumia zaidi ya shilingi bilioni 8.3 kulipa fao la uzazi
kwa kina mama wanachama wa Mfuko huo.
Akikabidhi
hundi ya malipo hayo kwa mwanachama Nchama Renatus ambae ni mwalimu wa
shule ya msingi Uhuru iliyopo Nansio Ukerewe,Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,
John Mongela ameupongeza mfuko wa LAPF kwa kuwajali wanachama wake na kulipa mafao kwa wakati.
Meneja wa
LAPF Kanda ya Ziwa, Yesaya Mwakifulefule akiwa amemapaka mtoto wa
Mwanachama wa mfuko Nchama Renatus baada ya mama huyo na wenzake
kukabidhiwa hundi zao za fao la uzazi. Jumla ya sh bilioni 8.3
zimetumika kuwalipa fao la uzazi wanawake wanachama wa mfuko huo mkoani
Mwanza.
Meneja wa
LAPF Kanda ya Ziwa, Yesaya Mwakifulefule akiwa amemapaka mtoto wa
Mwanachama wa mfuko Nchama Renatus (katikati) baada ya mama huyo na
wenzake kukabidhiwa hundi zao za fao la uzazi. Jumla ya sh bilioni 8.3
zimetumika kuwalipa fao la uzazi wanawake wanachama wa mfuko huo mkoani
Mwanza. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela akiwa amepakata
mtoto wa mnufaika.
Mkuu wa
Mkoa wa Mwanza, John Mongela (watatu kulia) akikabidhi hundi kwa
mawanachama wa Mfuko wa LAPF, Nchama Renatus (wapili kushoto) ambaye ni
mnufaika wa fao la zazi kwa wanawake wanachama wa mfuko huo na
kuhuhudiwa na wanufaika wengine wa Mkoani Mwanza jana. Kushoto ni Meneja
wa LAPF Kanda ya Ziwa, Yesaya Mwakifulefule ambapo alisema Sh bilioni
8.3 zimetumika kuwalipa fao la uzazi wanawake wanachama wa mfuko huo.
Picha ya pamoja ya wanufaika na mgeni rasmi.
Meneja wa LAPF Kanda ya Ziwa, Yesaya Mwakifulefule akisalimia.(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment