Nyumba za
watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu zikiwa katika hatua za mwisho
kukamilikana tayari kwa kutumiwa na watumishi hao kuanzia mwanzoni wa
mwakani.Ukarabati wa nyumba hizi unasimamiwa na Mamlaka ya Ustawishaji
wa makao makuu (CDA) Dodoma.
Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu
Mhe.JenistaMhagama akizungumza na viongozi mbalimbali wa Mamlaka ya
Ustawishajiwa makao makuu (CDA) Dodoma na mkandarasi kwa pamoja
wanasimamia mradi wa ukarabati wa makazi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri
Mkuu katika eneo la kikuyu mkoani Dodoma.
Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri MkuuSera,Bunge,Kazi,Vijana,AjiranaWalemavu
Mhe.Jenista Mhagama akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Joseph Muhamba
kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu wakati Waziri Huyo alipotembelea na kukagua
maendeleo ya Ujenzi wa makazi ya Waziri mkuu eneo la Mlimwa,Dodoma.
Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajirana Walemavu
Mhe.Jenista Mhagama akiangalia maendeleo ya ujenzi wa Barabara na
Madaraja katika Ofisi mpya Waziri Mkuu iliyopo eneo la Mlimwa,Dodoma.(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment