TRA

TRA

Friday, December 2, 2016

WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO AFUNGUA KITUO CHA TAALUMA YA UHASIBU (NBAA) BUNJU

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !



mawe
Sehemu ya Majengo ya Kituo cha Taaluma ya Uhasibu (Accountancy Profession Center-APC) cha Bodi ya Uhasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kilichofunguliwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb) kwa niaba ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, katika eneo la Bunju, Nje kidogo ya Jiji la Dar es salaam
mawe-1
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), akiwasili katika viunga vya kituo cha Taaluma ya Uhasibu (APC) cha Bodi ya Uhasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) katika aneo la Bunju nje kidogo ya Jiji la Dar es salaam na kulakiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya NBAA Prof. Isaya Jairo (Katikati) na Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni wa watumishi wa Serikali-GEPF, Bi. Joyce Shaidi
mawe-2
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), akisalimiana na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Musa Juma Assad, kabla ya kuzindua Kituo cha Taaluma ya Uhasibu (APC) cha Bodi ya Uhasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa niaba ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, katika eneo la Bunju nje kidogo ya Jiji la Dar es salaam.
mawe-3
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb) (wa tatu kutoka kulia) akiambatana na wakandarasi waliojenga Kituo cha Taaluma ya Uhasibu (APC) pamoja na wajumbe wa Bodi na Uongozi wa NBAA, kukagua baadhi ya miundombinu ya kisasa iliyopo katika kituo hicho kilichopo katika eneo la Bunju, Nje kidogo ya Jiji la Dar es salaam.
mawe-4
Waziri wa Fedha na Mipango. Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), akikata utepe kuashiria kufunguliwa rasmi kwa Kituo cha Taaluma ya Uhasibu (APC) cha Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kwaniaba ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, katika eneo la Bunju, nje kidogo ya Jiji la Dar es salaam.(P.T)

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger