Balozi wa Moroco nchini, Abdelilah Bennjane, (kushoto) akimkabidhi Meneja wa Chapa ya Ndovu ,Nicholous John (kulia) tuzo ya ushindi wa jumla kwa kipengele cha Mitandao ya kijamii ( Social Media Campaign of the year) TBL ilishinda kipengele hicho kupitia kampeni yake ya Mwagika Challege Tanzania.
Ofisa Uhusiano wa TBL Group Amanda Walter (Kulia) akipokea tuzo kutoka kwa Meneja Mkuu wa kituo cha Televisheni cha TV 1,Joseph Sayi , wakati wa hafla ya tuzo kwa makampuni na taasisi zilizofanya vizuri katika nyanja mbalimbali ya Tanzania Leadership Awards 2016 iliyofanyika katika hoteli ya Kilimanjaro jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
SHARE
No comments:
Post a Comment