Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiwapungia mkono maaskari
walioshiriki katika sherehe za Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar wakati alipowasili katika hafla ya chakula maalum
kwa Askari hao iliyofanyika leo katika viwanja vya Kambi ya KVZ Mtoni
(kulia) Brigedia Jeneral Sharif Sheikh Othman ,Kamanda wa Brigedi ya
Nyuki Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Viongozi
mbali mbali wakisimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa wakati wa hafla
ya chakula maalum kwa maaskari walioshiriki katika sherehe za
Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar mara baada ya
kuwasili katika hafla hiyo iliyofanyika leo katika viwanja vya Kambi
ya KVZ Mtoni,
SHARE
No comments:
Post a Comment