Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wanahabari wa vyombo
mbalimbali baada ya kuhitimisha hafla ya kuwaapisha mawaziri, mabalozi
na Kamishna Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 24, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu
Hassan, na viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja na waapishwa
baada ya kuhitimisha hafla ya kuwaapisha mawaziri, mabalozi na Kamishna
Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 24, 2017. Waapieshwa hao ni Mhe
Jaji Stella Esther Mugasha ambaye ameapishwa kuwa kamishna wa Tume ya
Mahakama, Mhe Sylvester Mabumba (Balozi wa Tanzania nchini Oman), Mhe
Job Masima (Balozi wa Tanzania nchini Israel), Mhe. Dkt Abdallah Possi
(Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani), Mhe Profesa palamagamba Kabudi
(Waziri wa sheria na katiba) na Dkt Harrison Mwakyembe, Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza Dkt. Harrison Mwakyembe
baada ya kumuapisha kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo,
huku Waziri mpya wa Sheria na katiba Profesa palamagamba kabudi akiwa
pembeni baada ya kuhitimisha hafla ya kuwaapisha mawaziri, mabalozi na
Kamishna Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 24, 2017
Viongozi
walioapishwa wakila kiapo cha Maadili ya Viongozi wa Umma Ikulu jijini
Dar es salaam leo Machi 24, 2017. Kutoka kushoto ni Mhe Jaji Stella
Esther Mugasha ambaye ameapishwa kuwa kamishna wa Tume ya Mahakama, Mhe
Sylvester Mabumba (Balozi wa Tanzania nchini Oman), Mhe Job Masima
(Balozi wa Tanzania nchini Israel), Mhe. Dkt Abdallah Possi (Balozi wa
Tanzania nchini Ujerumani), Mhe Profesa palamagamba Kabudi (Waziri wa
sheria na katiba) na Dkt Harrison Mwakyembe, Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha
Profesa Palamagamba kabudi baada ya kumuapisha kuwa Waziri wa Sheria na
Katiba Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 24, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi Dkt.
Harrison Mwakyembe baada ya kumuapisha kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni
Sanaa na Michezo Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 24, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wanahabari wa vyombo
mbalimbali baada ya kuhitimisha hafla ya kuwaapisha mawaziri, mabalozi
na Kamishna Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 24, 2017
SHARE
No comments:
Post a Comment